Home »
HABARI
» TANZANIA, INDIA MEZA MOJA USHIRIKIANO SEKTA YA USAFIRI WA ANGA
TANZANIA, INDIA MEZA MOJA USHIRIKIANO SEKTA YA USAFIRI WA ANGA
Post Friday, January 19, 2024
Waziri wa Uchukuzi Profesa Makame Mbarawa (katikati kushoto) amefanya kikao maalum na Waziri wa Usafiri wa Anga wa India Mheshimiwa Jyotiraditya M. Scindia (wapili kulia)kuhusu maeneo ya Ushirikiano baina ya Tanzania na India.